LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imesimama kwa mwezi mmoja kupisha timu za taifa zinazowania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa Wanawake (Wafcon) 2026 zitakazofanyika Morocco. KUWENI makini!
NYOTA wa Kitanzania, Clement Mzize ndilo jina ambalo linatembea kwa sasa vinywani mwa mashabiki wa Yanga, nyota yake ikizidi kung'ara kutokana na mchango wake katika kikosi hicho cha mabingwa ...

LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imesimama kwa mwezi mmoja kupisha timu za taifa zinazowania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ...
KLABU ya Kagera Sugar imechukua maamuzi magumu ya pili msimu huu kwa kuamua kumfuta kazi kocha mkuu wa timu, Mellis Medo.
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania anayekipig Wydad AC ya Morocco, Seleman Mwalimu 'Gomez' ameanza mechi ya kwanza akiwa na uzi wa ...
NYOTA wa kimataifa wa Riadha nchini, Gabriel Geay amefunika baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mbio za Daegu Marathon 2025 ...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji aliyetambulishwa hivi karibuni na klabu ya Al Mina'a ya Iraq amesema Simon Msuva ana ...
KIUNGO mshambuliaji wa San Jose Earthquakes ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS), Amahl Pellegrino mwenye uraia wa Norway na asili ya Tanzania, ameanza kujinadi akionyesha anatamani kuichezea timu ...
WIKIENDI iliyopita timu ya taifa 'Twiga Stars' ilipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ikweta Guinea ya kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) mwakani nchini Morocco, ...