Wiki hii, kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe alikamatwa na baadaye kuachiliwa huru. Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa muda mrefu vimekuwa vikililia kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi.
Katika malaka haya juma hili mwandaaji wa makala haya anazungumza na msanii wa maigizo Kuotoka Kenya Francis Njenga maarufu Mogaka , fuatilia ili kujua mengi. Inatokea sasa hivi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results